ANNOUNCE WITH REGRETS THAT MR.BLUE'S HOLLAND CONCERT WHICH WAS DUE THIS SATURDAY 03 JULY 10 HAS BEEN POSTPONED INDEFINITELY,AND WOULD LIKE TO APOLOGIZE FOR INCOVENIENCE CAUSED.
Thursday, July 1, 2010
ANNOUNCEMENT!!
CHARLES GADI PROMOTIONS &
ENTERTAINMENT
ANNOUNCE WITH REGRETS THAT MR.BLUE'S HOLLAND CONCERT WHICH WAS DUE THIS SATURDAY 03 JULY 10 HAS BEEN POSTPONED INDEFINITELY,AND WOULD LIKE TO APOLOGIZE FOR INCOVENIENCE CAUSED.
ANNOUNCE WITH REGRETS THAT MR.BLUE'S HOLLAND CONCERT WHICH WAS DUE THIS SATURDAY 03 JULY 10 HAS BEEN POSTPONED INDEFINITELY,AND WOULD LIKE TO APOLOGIZE FOR INCOVENIENCE CAUSED.
Tuesday, June 29, 2010
BUTI AKIPAGAWISHA UGHAIBUNI
MWANAMZIKI WA DANSI GALINOMA aka BUTI JIWE ANAEISHI NCHINI UHOLANZI NI MWANAMUZIKI WA KITANZANIA ANAEKUJA JUU KWA KASI SANA UGHAIBUNI, HII NI MOJA YA SHOW ZAKE NCHINI UHOLANZI. KIBAO HICHO "MWAMI" KINACHOELEZEA STORY YA KWELI KIPO KATIKA ALBUM YAKE YA SAMAHANI AMBAYO TAYARI INAPATIKANA. GALINOMA ANATEGEMEA KUFANYA ZIARA YA KUZUNGUKA BARA LA ULAYA NA BAADAE NYUMBANI TANZANIA.
Wednesday, June 23, 2010
BUTI JIWE KUKAMUA MJINI EMMEN,HOLLAND Jumamosi 26-06-2010
BUTI JIWE &Band, kuanza tour ndani and ya Uholanzi,
mwanamziki Buti jiwe aka Henry Galinoma,Jr. mwenye maskani yake nchini Uholanzi anatarajiwa kutingisha jukwaa la onyesho kubwa la Midzomerhout Festival,mjini Emmen,huko Holand.Mwanamziki huyo wa mziki wa dansi wa afrika mashariki amechaguliwa kuwa ndiye mwanamziki pekee wa kiafrika nchini Uholanzi kuwakilisha katika onesho hilo,ambapo pia atawaongoza jukwaani wanamziki watakao kwenda na mwavuli wa jina la "Africa Breezze".Mwanamziki Buti Jiwe ameachia hewani album iliyobeba jina la "Samahani" ambayo inatamba katika vituo vingi vya redio ndani na nje ya Tanzania.hata hivyo Buti Jiwe ameahidi kuachia Remex ya album hiyo,kabla ya kumalizika mwaka 2010,hili kuhakikisha washabiki na wadau wa mziki wanapata mdundo wenye kuleta "Raha" katika burudani ya mziki.
Buti Jiwe amewaomba wadau na washabiki wa mziki walio ndani na nje ya Bongo kukaa mkao wa kula!!
CD za Buti Jiwe zinahitaji pia msambazaji mzalendo,atakaye sambaza CDs katika nchi za afrika mashariki.

Tuesday, June 8, 2010
KISOMO CHA 40 YA MAREHEMU SLIM
MNATANGAZIWA KUWA KUTAKUWA NA KISOMO CHA AROBAINI YA MAREHEMU SLIM, ALIYEFARIKI MWEZI ULIOPITA . KISOMO NA SADAKA ITAKUWA SIKU YA JUMAMOSI TAREHE 12/06/2010 NYUMBANI KWA MAMA FATUMA TANDIKA.
KISOMO KITAFANYIKA KUANZIA SAA SITA MCHANA. TAFADHALI TUJUMUIKE KWA PAMOJA KATIKA MAOMBI HAYO.
J.MANDAI
KATIBU WA JUMUIYA YA WATANZANIA ITALIA TAWI LA NAPOLI
Saturday, June 5, 2010
Friday, June 4, 2010
CASTELFRANCO EMILIA
Mwenyekiti wa jumuiya ya Watanzania Italia Mh.Abdulrahaman A.Alli akiwa katika banda la Tanzania pembeni ni Bi Fatuma A.Tandika mjumbe wa jumuiya ya watanzania Italia.
FESTA DEI POPOLI E DELLA SOLIDARIETA' CASTELFRANCO EMILIA
Katibu wa jumuiya ya watanzania Italia Tawi la MODENA ndugu Mwinyimwaka Hatibu pichani akisisitiza umoja baina ya watanzania kupitia chombo maalum cha jumuiya ya watanzania Italia yenye makao makuu mjini NAPOLI. Katibu alisema sherehe kama hizi ni muhimu kwani ni njia mojawapo ya kukutana na kubadilishana mawazo na kuzidisha ushirikiano zaidi. katika kikao hicho cha watanzania kilichofanyika baada ya sherehe za maonyesho pia Mwenyekiti wa jumuiya ya Watanzania Italia Mh.Abdulrahaman A.Alli alipata nafasi ya kusalimiana na watanzania. katika salam hizo mwenyekiti aliwaasa Watanzania kuwa waangalifu na watu wenye nia ya kuharibu umoja wao uliojengeka kwa miaka mingi chini ya uongozi wa jumuiya ya watanzania Italia. pichani katikati ni Mwenyekiti wa jumuiya ya watanzania Italia tawi la MODENA mh. NYALUSI na pembeni ni ndugu HALIMA MWEVI ambaye ni mweka hazina wa tawi hilo.
Friday, May 21, 2010
FESTA DEI POPOLI E DELLA SOLIDARIETA'
La Città di Castelfranco Emilia e
l’Associazione Castelfranco Eventi
29 - 30 – 31 MAGGIO 2010
CASTELFRANCO EMILIA
Piazza Garibaldi, Piazza della Vittoria
e nelle vie della città.
SOLIDARIETA'
INTEGRAZIONE
INTERCULTURA
PACE ...
TRA TUTTI I POPOLI!
Jumuiya ya Watanzania Italia tawi la MODENA Wanakaribisha wanajumuiya wa matawi yote pamoja na Watanzania wanaoishi Italy kujumuika katika FESTA DEI POPOLI itakayofanyika siku ya tarehe 29/5/2010 CASTELFRANCO EMILIA .
Kwa maelezo zaidi wasiliana na katibu wa tawi ndugu: MWINYIMWAKA HATIBU cell: 340 3475405
Monday, May 17, 2010
Innaugurazione Associazione Onlus Insieme per la Famiglia
Innaugurazione Associazione Onlus Insieme per la Famiglia.
Viongozi wakuu wa jumuiya ya watanzania Italia walihudhuria uzinduzi wa NGO- "Associazione Onlus Insieme per la Famiglia".Mwenyekiti wa jumuiya ya watanzania Italia Mh.Abdulrahaman A.Alli ,Katibu mkuu ndugu Kagutta N.Maulidi pamoja na mjumbe wa jumuiya Mama Fatuma Tandika walihudhuria uzinduzi huo siku ya jumamosi jioni mjini Napoli.
Subscribe to:
Posts (Atom)