Innaugurazione Associazione Onlus Insieme per la Famiglia.
Viongozi wakuu wa jumuiya ya watanzania Italia walihudhuria uzinduzi wa NGO- "Associazione Onlus Insieme per la Famiglia".Mwenyekiti wa jumuiya ya watanzania Italia Mh.Abdulrahaman A.Alli ,Katibu mkuu ndugu Kagutta N.Maulidi pamoja na mjumbe wa jumuiya Mama Fatuma Tandika walihudhuria uzinduzi huo siku ya jumamosi jioni mjini Napoli.






0 MAONI:
Post a Comment